YouTube video

Zanto Feat Pingu - Binti Kiziwi with lyrics

Noreaga Al-Mo ·

Press Play to watch on YouTube. Playback may vary by country and device.

Download

Save this track

Choose MP3 for audio or MP4 for video. Files are prepared for you and kept for one hour.

About this video

Nimpate vipi mi sijui, ninaimani mapenzi hayajuiiihi //

Nimpate vipi mi sijui, ninaimani mapenzi hayajuiiihi // Nitapata ugojwa wa moyo, kwa sababu ya mawazo // Ninavyojuwa maisha yake, hajawai kuwa na boyfriend // Ila ni, mimi, wakwanza, naninashindwa kumpata // Kwa ishara inaonekana nampenda, yeye eti mi ninamzingua // Eti kama ingelikuwa anaskia, basi ukweli wangu angeujuaaa // Kwa ishara inaonekana animpenda, yeye eti ninamzingua // Eti kama ingelikuwa anaskia, basi ukweli wangu angeujuaaa // X2 Ningemzoe rafiki yakee basi mi ni,ningemtumaaaa// Ningezitambua ishara zake kwake mi ningefikaa // Ningemzoe rafiki yakee basi ye mi,ningemtumaaaa // Ningezitambua ishara zake kwake mi ningefikaaaaa // Chorus: Si siri ninampenda binti kiziwi, moyo wangu wamoteka binti kiziwi, si siri nataseka juu yake,ye binti kiziwi, Si siri ninampenda binti kiziwi, Kwakuwa moyo wangu wamouteka binti kiziwi // kichwa kinauma mawazo kwake binti kiziwiiii // verse 2 nashangaa pale nampomkutaaa, akiwa nawenzake wanaongeaaa, // huwa najiuliza mimi, wanaongea,naye vipiiii, // nashangaa napo muitaa,nahisi huwa anakataaa, // sijui ndio hasiki, au mapozi, au mapozi naye, // afadhali angejuae kusomae,hatachale kiumbe ningempaaa, // eti kama ningejuwa isharaaa,basi kwake ningefika mimi, // afadhali angejuwa kusomae,hata mbonge kiumbee ningempaaa, // etikama ningejua isharaa,mbasi kwake ningefika babyyy, // chorus: Si siri ninampenda binti kiziwi, moyo wangu wamoteka binti kiziwi, si siri nataseka juu yake,ye binti kiziwi, Si siri ninampenda binti kiziwi, Kwa moyo wangu wamouteka binti kiziwi // kichwa kinauma mawazo kwake binti kiziwiiii // rap:Pingu binti kiziwi yuko full yani yuko bombaa, amenidatisha mnyamwezi nayake figure, tatizo moja tu ambalo mimi hulinasibu, kila kukicha hata inikiwaza mimi sipati jibu, nikimwambia neno i luv you wala halijuwi, nikimwambie neno i need you halitambui, nikimwimbia nyimbo nzuri hata sikiii, pingu nasikitika nikimwona mbinti kiziwi, nikimwambia neno i luv you wala halijuwi, nikimwambie neno i need you halitambui, nikimwimbia nyimbo nzuri hata sikiii, pingu nasikitika nikimwona mbinti kiziwi, Interlude: Hatakusema neno i luv youuu kwake halijuiii, Hatakusema neno i need youuu kwake halitambui, Hatakusema neno i luv youuu kwake halijuiii, Hatakusema neno i need youuu kwake halitambuiii, Baby,baby baby,booo,baby i love youuu, Ingawa nateseka naye, baby i need youuu, Baby,baby ,booo(uhuu),baby i love youuu(uhuhu), Baby (tuhuu) baby, i need youuu(uhu) Chorus: Si siri ninampenda binti kiziwi, moyo wangu wamoteka binti kiziwi, si siri nataseka juu yake,ye binti kiziwi, Si siri ninampenda binti kiziwi, Kwakuwa moyo wangu wamouteka binti kiziwi // kichwa kinauma mawazo kwake binti kiziwiiii first to have the lyrics all over....you heard it first from the Africansupaman source itself. Keep it locked and thank you.
Channel
Noreaga Al-Mo
Uploaded
14 January 2009
Duration
4 minutes 43 seconds
Source
YouTube