YouTube video
BIEN X ALIKIBA - FINALE (Lyrics)
Pizza Music ·
Press Play to watch on YouTube. Playback may vary by country and device.
About this video
馃崟BIEN X ALIKIBA - FINALE (Lyrics)
馃崟BIEN X ALIKIBA - FINALE (Lyrics)
馃崟Lyrics:
Rebete, rebete
Rebete, rebete
Rebete, yeah
Yeah, oh
A legendary time catch a wine
Hapa saa ndio inabamba
Na siwezi sema sana
Tena siezi bonga sana
I never had a type in my life
Me ni vibe inabamba
Na siwezi wacha nyama
Tena huwa sikulangi sana
Leo silali
Ni kukesha mitunga nawasha nachoma
Tena sijali
Yamewashinda yao yetu wataweza
Leo silali
Ni kukesha mitunga nawasha nachoma
Tena sijali
Yamewashinda yao yetu wataweza
Ah watati (Finale)
Ah watatupenda (Finale)
Eeh referee (Finale)
Puliza kipenga (Finale)
Oh watatii (Finale)
Watatupenda (Finale)
Referee (Finale)
Uliza kipenga (Finale)
Sisi ni madada tu
Usiwaskize wao
Kwenye mapenzi mi ni professor
Tuwafunze wao
Mi sii wa macho juu ju ju
Oh, my love
Maneno mingi yanakuja yanaenda
Oh baby
Leo silali
It's your birthday tonight agizia Dorime
Billi ya Ali
Hakikisha hiyo bill asipewe mwingine
Leo silali
It's your birthday tonight agizia Dorime
Na hata mbali
Ubavu chuma upande mwanaume ashinde
Watatii (Finale)
Oh, watatupenda (Finale)
Referee (Finale)
Puliza kipenga (Finale)
Watatii (Finale)
Oh, watatupenda (Finale)
Referee (Finale)
Puliza kipenga (Finale)
Rebete, rebete
Rebete, rebete
Rebete, yeah
- Channel
- Pizza Music
- Uploaded
- 7 April 2026
- Duration
- 3 minutes 29 seconds
- Source
- YouTube
More from Pizza Music

SIENNA SPIRO - Great Expectation (Lyrics)
Pizza Music 路 YouTube

Ashe - Stop The Wedding! (Lyrics)
Pizza Music 路 YouTube

AD脡LA - Ain't In LA (Lyrics)
Pizza Music 路 YouTube

Ozuna & Omar Courtz - ZIZI (Letra/ Lyrics)
Pizza Music 路 YouTube

Wizkid - Come Closer (Lyrics) ft. Drake
Pizza Music 路 YouTube

Cameron Whitcomb - Kingdom of Fear (Lyrics)
Pizza Music 路 YouTube